Breaking News: Moto wateketeza bweni la shule ya msingi Byamungu Islamic kagera, wanafunzi kumi wafariki na saba wajeruiwa, on September 14, 2020 at 6:46 am

September 14, 2020

Na Clavery Christian Kyerwa Kagera.Wanafunzi Kumi wa shule ya msingi Byamungu Islamic wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya moto ulioteketeza bweni la shule hiyo majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo katika wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera.Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Kagera chini ya mkuu wa mkoa imedhibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa upelelezi unaendelea ili kuweza kubaini chanzo cha moto huo na madhara mengine yaliyotokea.Kwa habari zaidi endelea kufuatilia Muungwana Blog ,

Na Clavery Christian Kyerwa Kagera.

Wanafunzi Kumi wa shule ya msingi Byamungu Islamic wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya moto ulioteketeza bweni la shule hiyo majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo katika wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera.

Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Kagera chini ya mkuu wa mkoa imedhibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa upelelezi unaendelea ili kuweza kubaini chanzo cha moto huo na madhara mengine yaliyotokea.

Kwa habari zaidi endelea kufuatilia Muungwana Blog 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *