Breaking News: Mgombea wa Ubunge kupitia NCCR-Mageuzi jimbo la Madaba ajitoa kwenye kinyang’anyiro

September 17, 2020

Mgombea wa Ubonge jimbo la Madaba mkoani Ruvuma bwana,Mkinga Ugin Gidion (Kulia) kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi,Amejitoa katika nafasi ya kugombea Ubunge wa jimbo hilo,huku mwenyekiti wa Chama hicho Jimbo la Madaba Joseph Kibena akijiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti.,

Mgombea wa Ubonge jimbo la Madaba mkoani Ruvuma bwana,Mkinga Ugin Gidion (Kulia) kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi,Amejitoa katika nafasi ya kugombea Ubunge wa jimbo hilo,huku mwenyekiti wa Chama hicho Jimbo la Madaba Joseph Kibena akijiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *