Breaking News: Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo apata ajali,

October 2, 2020

 Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu Ado amepata ajali jimboni Nanyamba Mkoani Mtwara ambako alikwenda kumnadi Mgombea wa Ubunge wa Jimbo hilo Ndugu Colleta Kadinda. Ndugu Ado ametoka salama kwenye ajali hiyo.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *