Breaking: Moto Wateketeza Maduka Sinza-Mapambano

September 7, 2020

MADUKA  matatu yaliyopo maeneo ya Sinza-Mapambano jijini Dar es Salaam karibu na Ofisi za  Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) yameteketea kwa moto leo Jumatatu, Septemba 7, 2020, asubuhi, majira ya saa tano.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na taarifa zaidi juu ya uharibifu wa mali zilizoteketea bado hazijatolewa.,

MADUKA  matatu yaliyopo maeneo ya Sinza-Mapambano jijini Dar es Salaam karibu na Ofisi za  Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) yameteketea kwa moto leo Jumatatu, Septemba 7, 2020, asubuhi, majira ya saa tano.

Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na taarifa zaidi juu ya uharibifu wa mali zilizoteketea bado hazijatolewa.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *