Boniface Jacob “Nimeenguliwa Kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo”, noreply@blogger.com (Udaku Special)

August 29, 2020

Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob (CHADEMA) amedai kupokea barua toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi kumuarifu kuwa ameenguliwa kugombea Ubunge katika jimbo hiloAmesema anafanya taratibu za kukata rufaa,

Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob (CHADEMA) amedai kupokea barua toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi kumuarifu kuwa ameenguliwa kugombea Ubunge katika jimbo hilo

Amesema anafanya taratibu za kukata rufaa,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *