Bodo Boda Mkoa wa Mtwara kuanza mashindano ya Mpira wa Miguu, on September 10, 2020 at 8:00 am

September 10, 2020

Na Faruku Ngonyani, Mtwara.Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara inatarajia kuanzisha mashindano ya mpira wa miguu kwa madereva Bodabadoa wa Halmashauri zote Tisa (9) zilizopo Mkoani Mtwara.Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari ofisini kwako.Mkuu huyo Mkoa amesema kuwa mashindano hayo yanatarajia kuanza tarehe 15 Septemba mwaka huu 2020 na kumalizika Novemba 5 mwaka huu 2020.Byakanwa amefafanua kuwa kila Halmashauri itawakilishwa na timu moja licha ya Halmashauri zingine kutakuwa na uwakilishiwa timu Zaidi ya moja.Mshindi wa kwanza wa mashindano hayo atapaata kitita cha sh Milioni mbili na elfu hamsini(2,500,000) ,atakaeshika nafasi ya pili atapata sh milioni moja na laki tano (1,500,000) huku atakaeshika nafasi ya tatu atapata kitita cha sh milioni moja (1,000,000).Mashindano hayo yatafanyika katika Halmashuri Tatu ambazo ni Newala,Masasi na Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara.Lengo la mashindano kuwakutanisha baodaboda wote ili kutambua changamoto wananzokumbananazo ,

Na Faruku Ngonyani, Mtwara.

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara inatarajia kuanzisha mashindano ya mpira wa miguu kwa madereva Bodabadoa wa Halmashauri zote Tisa (9) zilizopo Mkoani Mtwara.

Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari ofisini kwako.

Mkuu huyo Mkoa amesema kuwa mashindano hayo yanatarajia kuanza tarehe 15 Septemba mwaka huu 2020 na kumalizika Novemba 5 mwaka huu 2020.

Byakanwa amefafanua kuwa kila Halmashauri itawakilishwa na timu moja licha ya Halmashauri zingine kutakuwa na uwakilishiwa timu Zaidi ya moja.

Mshindi wa kwanza wa mashindano hayo atapaata kitita cha sh Milioni mbili na elfu hamsini(2,500,000) ,atakaeshika nafasi ya pili atapata sh milioni moja na laki tano (1,500,000) huku atakaeshika nafasi ya tatu atapata kitita cha sh milioni moja (1,000,000).

Mashindano hayo yatafanyika katika Halmashuri Tatu ambazo ni Newala,Masasi na Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara.

Lengo la mashindano kuwakutanisha baodaboda wote ili kutambua changamoto wananzokumbananazo 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *