Bodi ya kororsho Nchini kusaka wanunuzi mataifa ya nje, on September 7, 2020 at 10:00 am

September 7, 2020

 Na Faruku Ngonyani, Mtwara.Bodi ya kororsho Nchini (CBT) kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje imesema kuwa imepeleka taarifa za minada ya korosho kweye baadhi ya balozi inayotarajiwa kufanyika mapema mwezi Octoba mwaka huu 2020.Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Bodi ya korosho nchini (CBT)Francis Alfred alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari Mkoani humo.Alfred ameongeza kuwa mpaka sasa Bodi hiyo tayari wamishapeleka Taarifa hizo katika balozi 43 katika mataifa mengine kwa lengo la kutafuta wanunuzi wa zao hilo la Korosho.Aidha Alfred ameongeza kuwa ni matumaini yao utaratibu huo utasaidia kuongeza idadi ya wanunuzi wa zao hilo la korosho licha ya kuwepo kwa janga la Virus vya Corona Duniani.Mianada ya Korosho hapa nchini inatarajiwa kufanyika mapema mwezi Oktoba mwaka huu 2020.,

 Na Faruku Ngonyani, Mtwara.

Bodi ya kororsho Nchini (CBT) kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje imesema kuwa imepeleka taarifa za minada ya korosho kweye baadhi ya balozi inayotarajiwa kufanyika mapema mwezi Octoba mwaka huu 2020.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Bodi ya korosho nchini (CBT)Francis Alfred alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari Mkoani humo.

Alfred ameongeza kuwa mpaka sasa Bodi hiyo tayari wamishapeleka Taarifa hizo katika balozi 43 katika mataifa mengine kwa lengo la kutafuta wanunuzi wa zao hilo la Korosho.

Aidha Alfred ameongeza kuwa ni matumaini yao utaratibu huo utasaidia kuongeza idadi ya wanunuzi wa zao hilo la korosho licha ya kuwepo kwa janga la Virus vya Corona Duniani.

Mianada ya Korosho hapa nchini inatarajiwa kufanyika mapema mwezi Oktoba mwaka huu 2020.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *