Bifu Linaendelea Kwa Kasi Harmonize na Diamond Platnumz…..Warushiana Vijembe Mtandaoni

October 12, 2020

 

Unaambiwa hivi sasa Beef limepamba moto sana kati ya diamondplatnumz na kijana wake @harmonize_tz

Harmonize amekuwa akijipeleka mbele kwenye beef na Diamond kitu kinachosemwa na mashabiki kwamba anataka kusafiria beef hilo ili asipotee mjini.

Snitch mchambuzi alianza kwa kutusanua kwamba baada ya Alikiba kuachia MIDIOKA Harmonize alipotea kabisa midomoni mwa watu kwakuwa mwenye beef alirudi hewani.

Kitu ambacho Harmonize aliona hawezi kupitwa akaandika ujumbe uliolenga kumfanya azungumziwe kidogo kwa kumwita IBRA KINGI MAFUNDO, kijembe kilichoimbwa na King Kiba himself, Juzi kwenye show ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli Diamond alipost kipande kikionesha watu wanavyomuelewa huku wengine walisikika wakisema hawataki hela wanamtaka Diamond.

Diamond pia alifunguka sakata hili kwa kusema kuna wasanii wanagawa hela ili wapendwe likimlenga @harmonize_tz

Harmonize hakulaza damu kupitia ukurasa wake wa Instagram akamjibu Diamond kwa kuandika ujumbe uliosomeka hivi

👇

HELA…!!! kwaki Japani zinaitwa (JESHI) Kwahiyo Ukisikia JESHI..!!! JESHI…!! MaanaYake Hela..!! Hela…!!! 😀😀 Au tumemuelewa Vibaya ..??? LEGEND Bana 😌”

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *