Aunty Ezekiel amvaa Shamsa Ford “Naomba tuheshimiane wewe sio msemaji wa Familia yangu”, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 4, 2020 at 1:00 pm

September 4, 2020

 Baada ya mwanadada Shamsa Ford kudai kuwa  anashangazwa na Rafiki yake Aunty Ezekiel kuwa na mahusiano na “watoto wa Chekechea” , AUNTYameamua kuvunja ukimya na kumjibu .Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Aunty Ezekiel ameshusha Ujumbe mzito kwa Shamsa , huku akimwambia kuwa yeye si Msemaji wa Familia yake .Kupitia Ujumbe huo Aunty ameandika :-“Anaekuheshimu Muheshimu Pia…..Staki kuongea Sana …….Nakuheshimu shamsaNaomba tuheshimiane ww sio msemaji wa Familia yangu wala hayakuhusu ya familia yang Mmbwa ww yakwako mangapi au Unavyofanyia kizani unaona watu hawakujui!!!!SITAKISITAKI “,

 

Baada ya mwanadada Shamsa Ford kudai kuwa  anashangazwa na Rafiki yake Aunty Ezekiel kuwa na mahusiano na “watoto wa Chekechea” , AUNTYameamua kuvunja ukimya na kumjibu .

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Aunty Ezekiel ameshusha Ujumbe mzito kwa Shamsa , huku akimwambia kuwa yeye si Msemaji wa Familia yake .

Kupitia Ujumbe huo Aunty ameandika :-

“Anaekuheshimu Muheshimu Pia…..

Staki kuongea Sana …….

Nakuheshimu shamsa

Naomba tuheshimiane ww sio msemaji wa Familia yangu wala hayakuhusu ya familia yang Mmbwa ww yakwako mangapi au Unavyofanyia kizani unaona watu hawakujui!!!!

SITAKI

SITAKI “

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *