Aunty Ezekiel ampa makavu Aunty Ezekiel kisa kutembea na wanaume wadogo, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 4, 2020 at 1:00 pm

September 4, 2020

Msanii wa filamu za kibongo Shamsa Ford ameshangazwa na kusikitishwa na msanii mwenzake Aunt Ezekiel kujihusisha kimpenzi na wanaume wadogo ambao aendani nao.Shamsa ameyasema hayo kupitia Kipindi cha Mashamsham cha Wasafi Fm ambapo amesema  amesema kuwa wale anaotoka nao ni wadogo sana na wanatakiwa wamuite mwalimu mkuu.Wale anao-date nao Aunty Ezekiel ingetakiwa afungue Nursery School  kusah ana Miaka 21 , angetakiwa amuite Aunty mwalimu Mkuu “ Hana uhakika kama Mimba aliyonayo Aunty ezekiel ni ya Mpenzi wake wa sasa kusah_ , ya Moseiyobo au ya “SPONSA” .“Sina uhakika kama Mimba ni ya kusah_ au SPONSA ninayemfahamu . Na ametoka kuachana tu na mose iyobo, huwezi jua Labda ni ya Moze “ – Shamsa Ford,

Msanii wa filamu za kibongo Shamsa Ford ameshangazwa na kusikitishwa na msanii mwenzake Aunt Ezekiel kujihusisha kimpenzi na wanaume wadogo ambao aendani nao.

Shamsa ameyasema hayo kupitia Kipindi cha Mashamsham cha Wasafi Fm ambapo amesema  amesema kuwa wale anaotoka nao ni wadogo sana na wanatakiwa wamuite mwalimu mkuu.

Wale anao-date nao Aunty Ezekiel ingetakiwa afungue Nursery School  kusah ana Miaka 21 , angetakiwa amuite Aunty mwalimu Mkuu “ 

Hana uhakika kama Mimba aliyonayo Aunty ezekiel ni ya Mpenzi wake wa sasa kusah_ , ya Moseiyobo au ya “SPONSA” .

“Sina uhakika kama Mimba ni ya kusah_ au SPONSA ninayemfahamu . Na ametoka kuachana tu na mose iyobo, huwezi jua Labda ni ya Moze “ – Shamsa Ford

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *