Atumia Nyoka kama barakoa kujikinga na Corona

September 18, 2020

Msafiri huyo aliyekuwa amevaa barakoa yake ya nyoka alikuwa amejizungushia katika shingo na mdomoni, alionekana katika basi lililokuwa linatokea Swinton kuelekea mji wa Manchester nchini Uingereza siku ya Jumatatu.Mamla ya usafiri wa leri ya  Greater Manchester imesema kuwa nyoka hakubaliki kufunika uso kama barakoaMamla ya usafiri wa leri ya  Greater Manchester imesema kuwa nyoka hakubaliki kufunika uso kama barakoaAbiria mmoja, alisema anadhani abiria huyo alikuwa amevaa barakoa ya kisasa tu mpaka alipomuona nyoka huyo akiteleza katika chuma cha kushikia mikono.Mkuu wa usafirishaji wa Manchester amethibitisha kuwa alikuwa ni nyoka na sio barakoa halisi.NyokaShuhuda wa tukio hilo, ambaye alitaka kutofahamika alisema, ameona kuwa tukio hilo lilikuwa la kuchekesha na kustaajabisha,Aliongeza kusema kuwa nyoka huyo hakuwasumbua abiria wenzake.Msemaji wa usafiri wa Manchester alisema: “Muongozo uliotolewa na serikali umesema wazi kabisa kuwa barakoa zinazoruhusiwa sio lazima zile za upasuaji bali abiria anaweza kutengeneza barakoa yake anayoridhika nayo na kuivaa akiwa huru.“Ingawa kuna kiwango kidogo tu tafsiri kamba inaweza kumaanisha hili, hatuamini maagizo hayo yalifikia kiwango cha mpaka kuruhusu ngozi ya nyoka-hususan wakati imeambatana na nyoka .”,

Msafiri huyo aliyekuwa amevaa barakoa yake ya nyoka alikuwa amejizungushia katika shingo na mdomoni, alionekana katika basi lililokuwa linatokea Swinton kuelekea mji wa Manchester nchini Uingereza siku ya Jumatatu.

Mamla ya usafiri wa leri ya  Greater Manchester imesema kuwa nyoka hakubaliki kufunika uso kama barakoaMamla ya usafiri wa leri ya  Greater Manchester imesema kuwa nyoka hakubaliki kufunika uso kama barakoa

Abiria mmoja, alisema anadhani abiria huyo alikuwa amevaa barakoa ya kisasa tu mpaka alipomuona nyoka huyo akiteleza katika chuma cha kushikia mikono.

Mkuu wa usafirishaji wa Manchester amethibitisha kuwa alikuwa ni nyoka na sio barakoa halisi.

Nyoka

Shuhuda wa tukio hilo, ambaye alitaka kutofahamika alisema, ameona kuwa tukio hilo lilikuwa la kuchekesha na kustaajabisha,

Aliongeza kusema kuwa nyoka huyo hakuwasumbua abiria wenzake.

Msemaji wa usafiri wa Manchester alisema: “Muongozo uliotolewa na serikali umesema wazi kabisa kuwa barakoa zinazoruhusiwa sio lazima zile za upasuaji bali abiria anaweza kutengeneza barakoa yake anayoridhika nayo na kuivaa akiwa huru.

“Ingawa kuna kiwango kidogo tu tafsiri kamba inaweza kumaanisha hili, hatuamini maagizo hayo yalifikia kiwango cha mpaka kuruhusu ngozi ya nyoka-hususan wakati imeambatana na nyoka .”

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *