Athari za mafuriko Pakistan, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 2), on September 4, 2020 at 5:00 pm

September 4, 2020

Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyoathiri kaskazini magharibi mwa Pakistan imeongezeka hadi 48.Mamlaka yamesema kwamba mamia ya nyumba zimeharibiwa kwa sababu ya mvua kubwa katika jimbo la Khyber Pahtunhva, na idadi ya waliokufa imepanda hadi 48 baada ya watu 24 zaidi kufariki.Mafuriko na maporomoko ya ardhi vimeathiri baadhi ya barabara za eneo hilo.Askari wanaendelea na shughuli za uokoaji.,

Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyoathiri kaskazini magharibi mwa Pakistan imeongezeka hadi 48.

Mamlaka yamesema kwamba mamia ya nyumba zimeharibiwa kwa sababu ya mvua kubwa katika jimbo la Khyber Pahtunhva, na idadi ya waliokufa imepanda hadi 48 baada ya watu 24 zaidi kufariki.

Mafuriko na maporomoko ya ardhi vimeathiri baadhi ya barabara za eneo hilo.

Askari wanaendelea na shughuli za uokoaji.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *