Arsenal yanyakua Ngao ya Jamii, Yaichapa Liverpool 5 -4, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 2), on August 30, 2020 at 7:00 am

August 30, 2020

Wachezaji wa Arsenal wakishangilia na Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Liverpool jioni ya leo Uwanja wa Wembley Jijini London.Arsenal ilitangulia kwa bao la Nahodha wake, Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 12 kabla Takumi Minamino kuisawazishia Liverpool dakika ya 73. Waliofunga penalti za Arsenal ni Reiss Nelson, Ainsley Maitland-Niles, Cedric Soares, David Luiz na Aubameyang na za Liverpool walifunga Mohamed Salah, Fabinho,  Minamino na Curtis Jones,wakati Rhian Brewster alikosa.,

Wachezaji wa Arsenal wakishangilia na Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Liverpool jioni ya leo Uwanja wa Wembley Jijini London.

Arsenal ilitangulia kwa bao la Nahodha wake, Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 12 kabla Takumi Minamino kuisawazishia Liverpool dakika ya 73. Waliofunga penalti za Arsenal ni Reiss Nelson, Ainsley Maitland-Niles, Cedric Soares, David Luiz na Aubameyang na za Liverpool walifunga Mohamed Salah, Fabinho,  Minamino na Curtis Jones,wakati Rhian Brewster alikosa.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *