Armenia na Azerbaijan zakataa kusitisha vita,

October 2, 2020

Vikosi vya jeshi la Azerbaijani na Armenian vimekataa wito wa kumaliza mzozo katika eneo la kusini mwa Caucasus, eneo ambalo mapigano yameongezeka hivi karibuni.

Alhamisi, Urusi na Ufaransa zimetaka kusitishwa kwa mapigano yanayoendelea ukanda wa Nagorno-Karabakh, eneo ambalo lina ghasia kubwa ambazo hazijawahi kutokea kwa miongo.

Lakini makombora na milipuko mikubwa imeripotiwa katika mji mkuu nyakati za usiku.

Upande wa mamlaka ya Azerbaijan, eneo ambalo linaongozwa na jamii ya Armenians.

Jamuhuri mbili za zamani za ‘Soviet’ zilipigana vita mwaka 1988-94 dhidi ya himaya yao.

Ingawa Armenia ilitangaza kuwa hailitambui taifa hilo rasmi.

Haijawa wazi chanzo cha mapigano hayo kurejea, yalianza Jumapili na ni makubwa kutokea tangu mapigano ya mwaka 1994 

Watu kadhaa wameuawa na mamia kujeruhiwa , na kukiwa na hofu kuwa nguvu za kimataifa zitaingilia mgogoro huo.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *