Apple music yamtaja Zuchu kama msanii wa kutazamwa Afrika

September 11, 2020

 Nyota ya Zuchu inazidi Kung’ara , si tu Tanzania , Afrika Mashariki ambapo tayari amejizolea mashabiki wengi ndani ya Muda Mfupi , bali mpaka Bara zima la Afrika tayari wameanza kumtazama kama Msanii anaekuja kwa kasii.Hilo limejidhihirisha baada ya Mtandao Mkubwa wa kuuza Muziki Duniani Apple Music kumtaja katika orodha ya Wanamuziki wanaokua kwa kasi na wa kutazamwa zaidi barani Afrika kwa sasa .Katika orodha hiyo Zuchu amewekwa na Wakali wengine kama Cuppy music Omah na Qwarantunes .Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Zuchu ameshare habari hiyo kubwa na kuandika :-“Wooow am so grateful kutajwa kwenye list ya Wasanii wanaotabiriwa makubwa Kutoka Afrika na wakutazamwa zaidi “,

 Nyota ya Zuchu inazidi Kung’ara , si tu Tanzania , Afrika Mashariki ambapo tayari amejizolea mashabiki wengi ndani ya Muda Mfupi , bali mpaka Bara zima la Afrika tayari wameanza kumtazama kama Msanii anaekuja kwa kasii.

Hilo limejidhihirisha baada ya Mtandao Mkubwa wa kuuza Muziki Duniani Apple Music kumtaja katika orodha ya Wanamuziki wanaokua kwa kasi na wa kutazamwa zaidi barani Afrika kwa sasa .

Katika orodha hiyo Zuchu amewekwa na Wakali wengine kama Cuppy music Omah na Qwarantunes .

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Zuchu ameshare habari hiyo kubwa na kuandika :-

“Wooow am so grateful kutajwa kwenye list ya Wasanii wanaotabiriwa makubwa Kutoka Afrika na wakutazamwa zaidi “

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *