Amber Lulu avunja ukimya afunguka mahusiano yake na Uchebe

September 10, 2020

Msanii wa BongoFleva Amber Lulu amevunja ukimya na kunyoosha maelezo kwa kile kinachoendelea mitandoni kwamba anahusihwa kuwa kwenye na mahusiano na aliyekuwa mume wa msanii Shilole Bwana Uchebe.Stori hiyo inazungumziwa zaidi kwenye Jamhuri ya watu wa mtandao wa Instagram, ambapo siku ya juzi Amber Lulu aliweka ujumbe kwenye Insta Story akisema “Acheni Ujinga mimi na Uchebe wapi na wapi mxiuuu”.Amber Lulu amefunguka kuwa  “Hayo ni mambo ya Instagram nimeshayazoea hanipi shida pia sipendagi kuyaongelea, sijui hata yameanzia wapi na sina hata cha kuwaambia, hata nikisema niweke sawa suala hili wao itawasaidia nini kwanza hayo mambo ya Uchebe kamuulizeni Shilole”.,

Msanii wa BongoFleva Amber Lulu amevunja ukimya na kunyoosha maelezo kwa kile kinachoendelea mitandoni kwamba anahusihwa kuwa kwenye na mahusiano na aliyekuwa mume wa msanii Shilole Bwana Uchebe.

Stori hiyo inazungumziwa zaidi kwenye Jamhuri ya watu wa mtandao wa Instagram, ambapo siku ya juzi Amber Lulu aliweka ujumbe kwenye Insta Story akisema “Acheni Ujinga mimi na Uchebe wapi na wapi mxiuuu”.

Amber Lulu amefunguka kuwa  “Hayo ni mambo ya Instagram nimeshayazoea hanipi shida pia sipendagi kuyaongelea, sijui hata yameanzia wapi na sina hata cha kuwaambia, hata nikisema niweke sawa suala hili wao itawasaidia nini kwanza hayo mambo ya Uchebe kamuulizeni Shilole”.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *