Aliyoyazungumza Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa Kwenye Mkutano wake na Wazee wa Zanzibar

October 6, 2020

Habari na Picha. Aliyoyazungumza Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa Kwenye Mkutano wake na Wazee wa Zanzibar Uliofanyika siku ya Jana Kwenye Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Dkt Bashiru amepata nafasi ya Kuwaambia Wazee wa Zanzibar Mwenendo wa Kampeni za CCM. #T2020JPM #Mwinyi2020.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *