Ali Kiba Avunja Ukimywa Mbele ya Rais Magufuli…Aomba FEDHA ili Afanyike Filamu ya Maisha ya Mwalimu Nyerere

October 14, 2020

Mfalme Wa Bongofleva @officialalikiba aiomba serikali kutoa fedha ambazo zitasaidia wasanii hasa wa Bongomovie kutengeneza filamu itakayosaidia jamii kuelewa maisha aliyoyaishi hayati Julius Kambarage Nyerere .

Kupitia Jukwaa La Kampeni Za CCM Katika Jiji La DSM Amesema…

“Naomba sana itengwe bajeti maalumu kwa ajili ya wasanii wa filamu kutengeneza filamu itakayoelezea historia ya Baba wa ataifa ili vizazi vijavyo vijifunze kutokana na mazuri ya baba wa taifa” @officialalikiba

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *