Albayrak azungumzia ziara ya Qatar na Kuwait,

October 8, 2020

Waziri wa Hazina na Fedha wa Uturuki Berat Albayrak amezungumzia ziara zake Kuwait na Qatar.

Albayrak, katika taarifa kwenye akaunti yake ya Twitter, amesema,

“Chini ya uongozi wa Rais Recep Tayyip Erdoğan, tulitembelea Kuwait na Qatar kwa siku. Tulienda kutoa pole kwa ajili ya kifo cha Emir wa Kuwait Sabah al-Ahmad al-Jabir al-Sabah. Pia tulifanya mkutano na Qatar ambao uligusia kuimarisha umoja na mshikamano wetu katika hatua ya ushirikiano wa kikanda.”

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *