Ajali mbaya yatokea Chang’ombe Dar,

October 5, 2020

 

Kutoka Temeke, DSM imetokea ajali Alfajiri ya leo October 05,2020 ikihusisha Daladala iliyobeba abiria inayofanya safari zake Temeke – Muhimbili na Gari kubwa la mchanga, Watu kadhaa wanahofiwa kufariki Dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali hiyo ambayo imetokea kwenye mataa ya Chang’ombe.

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Aboubakar Kunenge na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM, Lazaro Mambosasa ni miongoni mwa Viongozi waliofika eneo la tukio kujionea hali halisi.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *