Agizo la Serikali “mafuta ya Mikoa ya Kaskazini kuchukuliwa Bandari ya Tanga”, on September 18, 2020 at 10:00 am

September 18, 2020

 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewaagiza wasambazaji wa bidhaa za petroli katika mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuchukua bidhaa hizo kutoka Bandari ya Tanga, na si sehemu nyingine.Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA inaeleza kuwa utaratibu wa wafanyabiashara hao kuchukua mafuta kutoka Bandari ya Dar es Salaam kunawaathiri wafanyabiashara wa jumla walioingiza mafuta kupitia Bandari ya Tanga.,

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewaagiza wasambazaji wa bidhaa za petroli katika mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuchukua bidhaa hizo kutoka Bandari ya Tanga, na si sehemu nyingine.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA inaeleza kuwa utaratibu wa wafanyabiashara hao kuchukua mafuta kutoka Bandari ya Dar es Salaam kunawaathiri wafanyabiashara wa jumla walioingiza mafuta kupitia Bandari ya Tanga.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *